PATA MAKALA NZURI KWA AFYA YAKO KWA KUANDIKA TAARIFA ZAKO MUHIMU KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI

PATA MAKALA KWA AJILI YA AFYA YAKO KWA KUWEKA TAARIFA ZAKO HAPA

* indicates required

Jumamosi, 3 Juni 2017

YAJUE MAAJABU YA DAWA YENYE KUTIBU MARADHI YA FIGO,INI NA MATATIZO MBALIMBALI IKIWEMO UWEZO WA KUFANYA TENDO LA NDOA








YONG CORDYCEPS
Cordyceps sinensis ni mmea ambao ni adimu na wenye thamani kubwa sana  nchini china ,kipindi cha nyuma ulifahamika kama mmea wa maajabu kutoka mibinguni, kwanza mmea huu unazaliana kwa uchache sana ila una uwezo  uliopitiliza hivyo kufanya hata gharama yake kuwa kama ya dhahabu

Yong cordycep( Insect body and grass body)  yaani dawa hii ni mmea na ni mdudu kwa wakati mmoja  ,sasa umbo lake hili limepewa majina mawili ambapo kuna millitaris na mycelium ,millitaris ni kama  matunda ,mycelium ni kama mizizi
Uwezo mkubwa wa yongcord upo kwenye millitaris maana ndo una vitu vyote vya muhimu vilivyotengeneza cordyceps, 
Sisi tumetumia asilimia 100 ya millitaris kufanya tiba hii adimu kufanya kazi katika mwili wa binadamu ipasavyo na moja ya kazi za mmea huu ni kama zifuatazo
KAZI ZAKE
*Inaboresha na kudhibiti mfumo wa kinga kwa kusaidia antibodiez ambazo, ndio walinzi wa maradhi kuzalishwa kwa wingi
* Inaongeza nguvu kwenye seli za binadamu hivyo kusaidia kuondoa uchovu wa mwili na kufanya mtu kuwa imara sana
* Kwenye mfumo wa hewa* Inatibu asthma(pumu), inatibu matatizo ya mafua na makohozi, inalinda mapafu na uwezo wa kupumu hivyo inauwezo mkubwa wa kukukinga na kukutibu magonjwa yote ya kifua
Kwenye moyo, inazuia tatizo la moyo kukosa damu kwa  kupunguza matumiz ya oxygen kwenye moyo hivyo kufanya mapigo ya moyo yawe sawa wakati wote
Inaboresha uwezo wa ini na figo kufanya kazi vizuri,Inalinda  na kutibu figo na ini  kwa hiyo endapo mtu ana tatizo lilosababishwa na kuathirika kwa figo hii itamsaidia mfano mwanaume kuwahi kufika kileleni  kutokana na sumu kuathiri figo atapata suluhu
Cordyceps inasaidia wafuatao
Watu wenye pumu,Kikohozi cha mda mrefu na matatizo sugu ya kifua
Watu wenye kinga ndogo kwenye mfumo wa upumuaji yani wanaougua mara kwa mara matatizo ya kifua
Wenye matatizo  ya figo ,mfano kuathiriwa na sumu nk
Inaongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa na hamu kwa wote
Inasaidia mtu kuwa na afya nzuri
Ni nzuri  kwa watu wenye kinga ndogo mwilini
kujipatia mmea huu adimu uliohifadhiwa kitaalamu katika mfumo wa vidonge wasiliana nami kwa namba 0652 250418/0752090436
Usisahau kulike facebook page yangu ya afya iitwayo " David Mshauri wa Afya"
WhatsApp 0652250418



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni