DHAHABU YA JOINT (SHARK)
Ugonjwa wa arthritis umekua miongoni mwa magonjwa sugu . Asilimia 10 ya watu wapo hatarini kupata ugonjwa huu ,hususani watu wenye umri kati ya miaka 35 mpaka 50
Uwezekano wa mwanamke kupata ugonjwa huu ni mkubwa mara tatu zaidi ya mwanaume
Kutokana na takwimu za madaktari magonjwa ya joint yanaenda na umri ,zaidi ya asilimia 68 ya watu wenye umri zaidi ya miaka 65 wanaugua magonjwa haya ya joint na hivyo inasababisha watu wenye umri zaidi ya miaka 50 kushindwa kufanya kazi
SHARK
Vidonge hivi vya asili vilivyotengenezwa kitaalamu kwa teknolojia ya hali ya juu vina glucosamine,chondroitin sulfate na madini mengine mengi kwa ajili ya ukuaji wa viungo vya binadamu,kwasababu ya kazi kuu ambazo shark inaweza kufanya kama kupunguza msuguano katika joint, kurepair maungio(cartilage) ,kuondoa maumivu na uwezo mwingine wa ajabu kwenye joint na maungio(cartilage) ,shark imefahamika kama soft gold for joint yani dhahabu laini
TUANGALIE HIVYO VITU AMBAVYO VIPO KWENYE SHARK YETU
GLUCOSAMINE
Ni kama chondroitin , hii ni compound ya asili ambayo inapatikana kwenye maungio yenye afya (healthy cartilage) hususani kwenye majimaji yaliyopo kwenye joints
Hii inaweza kutengenezwa kama lishe kutokana na viumbe wa baharini kama shellfish au matamvua ya papa ,na kutokana na utafiti wa maabara imethibitika kuwa ina uwezo wa kuzuia uvimbe kwenye viungo pamoja na kusaidia kuzalishwa kwa cartilage (maungio)
CHONDROITIN SULTATE
Chondroitini ni kitu kikubwa ambacho kimetumika kutengeneza cartilage ambacho kinasaidia kurudisha maji . Na kawaida inategenezwa na mwili wenyewe kialisia
pia inaweza kuzalishwa kutoka kwa wanyama kama vile ng’ombe ,papa nk
Chrondroitini sulfate imethibitika kuwa na uwezo mkubwa katika kutibu matatizo ya joint na mifupa na pia kuondoa maumivu kwenye mifupa ,joint nk na huwa inafanya kazi taratibu mpaka miezi mitatu ndo mtu anaweza kuona matokeo
MALIGHAFI ZA SHARK YETU
Shark cartilage hii imetengenezwa kutoka kwenye mgongo ,matamvua na kichwa cha papa waishio Australia kwenye maji safi ,kwa teknolojia ya hali ya juu shark chondroitin sulate ikatolewa kwenye papa hawa na kuandaliwa vizuri katika mfumo wa vidonge
Shark hii ina vitu vifuatavyo kwa wingi collagen protini,chondroitini,calcium,phospohorous,zinc na madini mengine muhimu kwa ajili ya kurepair joint zilizoharibika ,kuondoa maumivu ya joint mgongo na maumivu kwenye mabega kwa wazee nk
KAZI ZA SHARK
Inasaidia kutibu joint zilizoharibika
Inasaidia kuondoa maumivu ya mgongo
Inasaidia kutibu arthritis kwa vijana hasa kwenye mabega
Ukiitumia kwa muda mrefu inafanya mwili wako kuwa imara na kuweza kujikinga na matatizo ya joint
Inalainisha joint na kuzuia kukakamaa
Inaongeza uzalishaji wa uteuute kwenye joint na kupunguza msuguano
Inaondoa uvimbe kwenye joint na ukakamavu
Inaondoa maumivu yoyote kwenye joint na kuondoa ukakamavu wake
Inasaidia kulisha maungio(cartilage) na kurekebisha ziwe sawa
WATU WANAOTAKIWA WATUMIE
Watu wenye lengo la kuimarisha afya zao hususani mifupa joint na kujikinga na matatizo hayo kutokana na kupata glucosamine ya kutosha kwenye shark
Wanawake wanaokaribia ukomo wa hedhi
Waanawake ambao wamefika ukomo wa hedhi
Watu wenye gout inatibu kabisa
Watu wenye matatizo ya mifupa
Kwa mahitaji ya kirutubisho hichi wasiliana nami kwa namba 0652250418/0752090436
NOTE
Unapaswa kunywa angalau miezi mitatu mfululizo ili kuona matokeo kama nilivyoeleza hapo awali inafnya kazi taratibu

Bei gani hiyo dawa?
JibuFuta