PATA MAKALA NZURI KWA AFYA YAKO KWA KUANDIKA TAARIFA ZAKO MUHIMU KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI

PATA MAKALA KWA AJILI YA AFYA YAKO KWA KUWEKA TAARIFA ZAKO HAPA

* indicates required

Ijumaa, 16 Juni 2017

IJUE DAWA BORA KWA KUTIBU MATATIZO YA MIFUPA NA UVIMBE KWENYE MAUNGIO YA MIFUPA



DHAHABU YA JOINT (SHARK)
Ugonjwa wa arthritis umekua miongoni mwa magonjwa sugu . Asilimia 10 ya  watu wapo hatarini  kupata  ugonjwa huu ,hususani watu wenye umri kati ya miaka 35 mpaka 50
Uwezekano wa mwanamke kupata ugonjwa huu ni mkubwa mara tatu zaidi ya mwanaume
Kutokana na takwimu za madaktari  magonjwa ya joint  yanaenda na umri ,zaidi ya asilimia  68 ya watu wenye umri zaidi ya miaka 65 wanaugua magonjwa haya ya joint na hivyo inasababisha watu wenye umri zaidi ya miaka 50 kushindwa kufanya kazi
SHARK
Vidonge hivi vya asili vilivyotengenezwa kitaalamu kwa teknolojia ya hali ya juu vina  glucosamine,chondroitin sulfate na madini mengine mengi kwa ajili ya ukuaji  wa viungo vya binadamu,kwasababu ya kazi kuu ambazo shark inaweza kufanya kama kupunguza msuguano katika joint, kurepair maungio(cartilage) ,kuondoa maumivu na  uwezo mwingine wa ajabu kwenye joint na  maungio(cartilage) ,shark imefahamika kama soft gold for joint yani dhahabu laini
TUANGALIE HIVYO VITU AMBAVYO VIPO KWENYE SHARK YETU
GLUCOSAMINE
Ni kama chondroitin   , hii ni compound ya asili ambayo inapatikana kwenye maungio yenye afya (healthy cartilage) hususani kwenye majimaji yaliyopo kwenye joints
Hii inaweza kutengenezwa kama lishe  kutokana na viumbe wa baharini kama shellfish  au matamvua ya papa ,na kutokana na utafiti wa maabara imethibitika kuwa ina uwezo wa  kuzuia uvimbe kwenye viungo pamoja na  kusaidia kuzalishwa kwa cartilage (maungio)
CHONDROITIN SULTATE
Chondroitini ni kitu kikubwa ambacho kimetumika kutengeneza  cartilage  ambacho kinasaidia kurudisha maji . Na kawaida  inategenezwa na mwili wenyewe kialisia
pia inaweza kuzalishwa kutoka kwa wanyama kama vile ng’ombe ,papa nk
Chrondroitini sulfate  imethibitika kuwa na uwezo mkubwa  katika kutibu matatizo ya joint na mifupa na  pia kuondoa maumivu kwenye mifupa ,joint nk na huwa inafanya kazi taratibu mpaka miezi mitatu ndo mtu anaweza kuona matokeo
MALIGHAFI ZA SHARK YETU
Shark cartilage hii imetengenezwa  kutoka kwenye mgongo ,matamvua na kichwa cha papa waishio Australia kwenye maji safi  ,kwa teknolojia ya hali ya juu shark chondroitin sulate ikatolewa kwenye papa hawa na  kuandaliwa vizuri  katika mfumo wa vidonge
Shark hii ina vitu vifuatavyo kwa wingi  collagen protini,chondroitini,calcium,phospohorous,zinc na madini mengine muhimu kwa ajili ya kurepair joint zilizoharibika ,kuondoa maumivu ya joint mgongo  na maumivu  kwenye mabega kwa wazee nk

KAZI ZA SHARK
Inasaidia kutibu joint zilizoharibika
Inasaidia kuondoa maumivu ya mgongo
Inasaidia kutibu arthritis kwa vijana hasa kwenye mabega
Ukiitumia kwa muda mrefu inafanya mwili wako kuwa imara na kuweza kujikinga na matatizo ya joint
Inalainisha joint na kuzuia kukakamaa
Inaongeza uzalishaji wa uteuute kwenye joint na kupunguza msuguano
Inaondoa uvimbe kwenye joint na ukakamavu
Inaondoa maumivu yoyote kwenye joint na kuondoa ukakamavu wake
Inasaidia kulisha maungio(cartilage) na kurekebisha ziwe sawa
WATU WANAOTAKIWA WATUMIE

Watu wenye lengo la kuimarisha afya zao hususani mifupa joint na kujikinga na matatizo hayo  kutokana na kupata glucosamine ya kutosha kwenye shark
Wanawake wanaokaribia ukomo wa hedhi
Waanawake ambao wamefika ukomo wa hedhi
Watu wenye  gout inatibu kabisa
Watu wenye matatizo ya  mifupa
Kwa mahitaji ya kirutubisho hichi wasiliana nami kwa namba 0652250418/0752090436
NOTE
Unapaswa kunywa angalau miezi mitatu mfululizo ili kuona matokeo kama nilivyoeleza hapo awali inafnya kazi taratibu⁠⁠⁠⁠

DAWA YA KUTIBU UVIMBE NA KUONDOA SUMU MWILINI



Image result for spirulina
SPIRULINA

Spirulina ni cyanobacterium (blue-green algae) ambayo inatumika na binadamu na wanyama wenginehumans. Kuna species mbili, Arthrospira platensis na Arthrospira maxima. Arthrospira inapatikana Dunia nzima; ambapo inatumika kama virutubisho dietary supplement pia kama chakula whole food; inapatikana pia katika mfumo wa vidonge, na kwa mfumo wa unga pia. Inatumiaka kama chakula cha mifugo, samaki. Spirulina ndio chakula kinachoaminika kuwa na virutubisho vyote. Hata wanasayansi wa anga wanapoenda angani chakula wanachobeba huwa ni Spirulina, kwa sababu kina virutubisho vyote, Sasa mimi Koroti nitaenda kukueleza baadhi ya faida ya chakula hichi na endapo utakihitaji utawasiliana na mimi ujipatie ili kunufaika na kazi zifuatazo ambazo itaenda kukufanyia Note ili kupata matokeo mazuri unashauriwa kutumia siku 90 mfululizo

KAZI ZA SPIRULINA

🌲huimarisha Kinga ya mwili

🌲huboresha na kuzalisha cell

🌲hukinga na kuzuia uzalianaji wa virus

🌲huboresha mzunguko wa damu

🌲hutibu vidonda vya tumbo

🌲husaidia kuwaongezea lishe wagonjwa wa kisukari

🌲huondoa kasi ya madhara ya kisukari

🌲huondoa uvimbe

🌲huponyesha haraka majeraha

🌲huongeza kiasi kikubwa cha damu

🌲huondoa sumu

🌲ni lishe bora kwa watu wote (Wajawazito, wazee)

🌲hulinda ini lisiharibiwe na sumu kutokana na vyakula tunavyokula

INAFAA ÷

WATU WANAOFANYA KAZI MDA MREFU HIVYO HUKOSA MUDA WA KULA, WATU WENYE MATATIZO YA MIFUPA NA MOYO, WATOTO WASIOPENDA KULA, WATU WENYE MATATIZO YA UTUMBO Kujipatia lishe hii iliyopo mfumo wa vidonge wasiliana nami kwa namba/whatsapp 0652250418⁠⁠⁠⁠

Image result for spirulina

MANUFAA YA MAJANI YA MPERA KWA AFYA YAKO





 Image result for majani ya mpera
MAJANI YA MPERA

FAIDA 17 ZA KUTUMIA MAJANI YA MPERA(GUAVA LEAVES).
Habari yako rafiki yangu mpendwa ambae unaendelea kufuatilia Makala za afya. Siku ya leo ningependa kueleza kuhusu faida za kutumia mmea ambao umeonekana ni mmea wa kawaida ila unafaida nyingi katika afya yetu
Mapera ni matunda ya msimu yenye wingi wa vitamini A na C, madini ya potasiam, nyuzi nyuzi nzuri yani fiber na 'lycopene' vyote hivi ni muhimu kwa afya.
Watu wengi hutumia tunda tu pasipokujua si tunda pekee lenye manufaa kwa afya zao. Majani ya mpera ni mazuri sana kwa ajili ya kisukari,ngozi, nywele na afya yako kwa ujumla.

FAIDA ZA KUTUMIA MAJANI YA MPERA KWA AJILI YA AFYA YAKO.
1.Chai ya majani ya mpera inasaidia mwili kuwa stadi, inasaidia madini ya carbohydrates yasigeuzwe kuwa sukari ndani ya mwili hivyo kupunguza hamu ya kula.
2.Chai ya majani ya mpera pia inashusha kiwango cha sukari mwilini na kuzuia mwili kuondoa 'insulin'. Kwa sababu hii wagonjwa wa sukari wanashauriwa kuitumia mara kwa mara.
3.Chai ya majani ya mpera pia hupunguza lehemu mbaya(bad cholestrol) bila kudhuru lehemu nzuri.
4.Chai hii ina nguvu za kudhibiti vijidudu vya magonjwa mwilini hasa kuzuia magonjwa ya kuharisha na kipindupindu.
5.Chai hii inalinda mchafuko wa tumbo na pia inasaidia kukabili madhara yaletwayo na chakula chenye sumu.
6.Chai hii hutibu kukohoa na kupumua kwa tabu.
7.Upatapo uvimbe wa fizi na maumivu mdomoni kama jino kuuma, tafuna majani ya mpera.
8.Kwa matatizo ya homa ya dengue, chemsha glasi mbili na nusu na majani ya mpera (kadiria majani 9) mpaka maji yabakie nusu ya ujazo wa awali.
9.Chai ya majani ya mpera imefahamika kutibu kansa na 'prostate' kwa wanaume.
10.Chai hii inasaidia kwa wanaume wenye tatizo la kuzalisha (Infertility).
11.Ponda majani ya mpera na kuweka sehemu ya kidonda au iliyokatika kuondoa maambukizi. Kwa maumivu nje ya sikio tumia chai ya majani ya mpera. Tia matone ya chai hii iliyopoa kwenye sehemu iliyoathirika.
13.Majani ya mpera hupondwa na kupakwa eneo lenye muwasho uletwao na allergy.
14.Unapoumwa na wadudu majani yaliyopondwa ni tiba sahihi.
15.Majani ya mpera yana saidia kupigana na mba na chunusi kutokana na wingi wake wa vitamini C.
16.Kuondoa madoa meusi kwenye ngozi ponda majani ya mpera changanya na maji kiasi na upake badala ya dawa za kawaida.
17.Fanya kama namba16. kwa tatizo la ngozi kuzeeka mapema.
18.Majani ya mpera yanaondoa tatizo la kukatika kwa nywele. Chemsha majani kisha wacha yapoe na ukande kwenye paji na eneo la ngozi taratibu kwa dakika 15. Wacha kwa dakika 30 kisha osha na maji safi bila shampoo au sabuni. Fanya hivyo mara 3 kila wiki.
Wengi wananiuliza namna ya kuitengeza chai ya majani ya mpera. Kuna namna mbili. Aidha chemsha maji kama glasi nne mpaka itokote sana, chukua majani kama 10 ya mpera, weka ndani ya yale maji moto kisha funika kwa dakika 10 - 15 koroga, chuja, chai yako tayari. Aina ya pili ni chemsha maji hayo pamoja na majani yakiwa ndani. Ikitokota ondoa kwenye moto, wacha kwa dakika 10 -15 chuja, chai tayari. Waweza ukatumia majani yaliyo kauka pia.
Zingatia ukichanganya na asali badala ya sukari ndio bora zaidi.

Najua umepata kujifunza kitu rafiki yangu kama umependezwa na tiba hii ya leo share na marafiki zako na magroup mbalimbali
Pia kwa ushauri juu ya afya yako mpendwa wasiliana nami kwa
NAMBA 0652250418
WhatApp 0652250418⁠⁠⁠⁠

SABUNI YENYE KUTIBU NGOZI NA KUIKINGA NGOZI DHIDI YA MARADHI MBALIMBALI


PEARL SOAP (SABUNI YA PEARL)
PEARL BEAUTFYING SOAP....TIBA YA KWELI KABISA.
Hii ni sabuni iliyotengezwa kutokana na magamba ya viumbe wa baharini km simbi, konokono na viumbe wengine wa baharini.
Magamba hayo yanasagwa na kutolewa Mali ghafi ya kutengeneza sabuni bora pearl soap...!
Sabuni hii ina aina18 za amino acid..zaid ya aina 30 za trace element.na vitamins ambazo zinasafirisha material za virutubisho ndani ya ngozi na kuondoa vitu vigeni katika ngozi.
KAZI ZAKE
1.kutengeneza uzuri wa ngozi iwe na ubora wake..
2.inaimarisha uasili wa ngozi..
3.inaondoa mafuta na jasho na kuifanya ngozi kubaki kavu na safi..
4.inasafisha na inaondoa sumu ndani ya ngozi..
5.inaondoa mabaka na upele..
6.kuponya muendelezo wa tishu zilizoharibika ndani ya ngozi..
7.kuondoa mafuta yaliyoganda na kuziba vinyweleo na kuifanya ipumue vzr...
8.inaondoa chunusi na kuifanya sura ing'ae.
9.inang'arisha ngozi
10.inazuia uharibifu wa ngozi unaotokana na miali ya jua na miali na kemikali nyingine kupitia ngozi...!!
11,Inaondoa mba wa shingoni, mwilini na hata kichwani,
12,Inaondoa Fungus za aina zote hata kwa wanaonuka miguu wameliwa vidole wakivua viatu, .
13.Inaondoa harara kwa wanaokaa maeneo ya joto kali
*Utaalamu huu wa kutumia viumbe wa bahari katika usafi na uimara wa ngozi ulianza karne nyingi nchini china na unaendelea hadi leo na hata wazee wakichina hawachoki ngozi na akili
MATUMIZI
1.loweka ngozi kwa maji..
2.paka sabuni juu ya ngozi..
3.sugu kwa dakika 1-3.....
4.suuza kwa maji safi.
5.tumia mara 2 kwa siku kupata matokeo mazuri
Enjoy harufu nzuri na isiyoumiza pua zako yenye kukufanya upende kuendelea kuoga tu, harufu salama ya maua na zabibu..!
ANGALIZO
sabuni hii haijatengenezwa kwa kemikali za viwandani ni Tiba mbadala, hivyo unashauriwa kuitumia na kutokupaka vipodozi vya kemikali, hasa Lotion zenye hydroquinone ina maana unatibu Kisha unajeruhi tena, Tumia Lotion zisizo na hizo kemikali.
Kuzipata
Sabuni hizi wasiliana nami
0652250418
David Nghambi
Mshauri wa afya⁠⁠⁠⁠

UFUMBUZI WA TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO HUU HAPA




Image result for vidonda vya tumbo
VIDONDA VYA TUMBO

Imekuwa ni changamoto sana kwa watu wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo hii ni kwa sabubu zifuatazo
1. Jamii haijatambua kuwa vidonda vya tumbo husababishwa na mienendo ya maisha yetu. Hivyo tiba yake kuu ni kubadili maisha tunayoishi nayo,kuanza lishe tunayopata,jamii tunayo ishi nayo, na kuepuka vinywaji vinavyo hatarisha afya ya ukuta wa mfuko wa chakula.

2. Dawa kama omeprazole na zingine nyingi ambazo kwa pamoja tunaziita PROTON PUMP INHIBITORS zinapunguza utoaji wa asidi ambayo ikitolewa kwa wingi inaenda kuharibu kuta za mfuko wa chakula. Hivyo zinazuia tu tindikali bila kushugulika na chanzo cha kuongezeka kwa hiyo tindikali. Hivyo bila kuondoa chanzo kinachosababisha kuongezeka kwa tindikali hiyo ya HCL hata siku moja huwezi kupona ndio mana siku hizi kuna dawa za kutuliza kama mmoja wapo wa wagonjwa nilikutana nae anasema hivyo. Inaweza kuwa leo hii na wewe umebahatika kusoma makala hii hivyo napenda nikuambie kuwa tiba ya vidonda vya tumbo ni wewe mwenyewe na tiba yake unayo hapo nyumbani tatizo ni kwamba tumekariri tu kwamba tiba lazima uikute madukani inauzwa.. vidonda vya tumbo vinatibika pata elimu ya lishe na badili tabia yako hakika utapona.
3. Hizi dawa za vidonda vya tumbo zinatakiwa zitumike pale panapohitajika siyo maisha yako yote. Kwani hizi dawa mara nyingi huja na maudhi mbalimbali kwani ni dawa ambazo zimetengenezwa kwa kemikali. Dawa pekee ambazo ni sahihi kwa matumizi na zina madhara kidogo ni zile ambazo ni za asili. Changamoto kubwa kwa hapa Tanzania ni kuwa huduma hii bado haijapata wataaalamu waliobobea wakaanza kutoa bidhaa bora na zenye kufanyiwa utafiti wa kutosha na zenye kiwango cha kimataifa.

4. Tunapenda kula vyakula vyenye sukari nyingi,vyakusindika,viwandani na vyenye viungo vingi hivi vyote ndio visababishi vyakutolewa kwa tindikali ya HCL mwilini ambayo ikizidi inaharibu kuta za tumbo. Hivyo ni wakati sasa wa kurudi katika vyakula ambavyo bibi na babu zetu walivyokula. Ni ukweli usiopingika kuwa vyakula vya super market ni vya bei ya chini kuliko vyakula vya matunda, na mboga mboga. Je umeshawahi jiuliza kwa nini hivyo vyakula vinauzwa kwa bei ndongo!!! Fanya uchunguzi huu juice ya zabibu lita moja ukiitengeneza wewe ya asili itagharimu shilingi ngapi!! Na je lita moja ya zabibu juisi kiwandani ni shilingi ngapi!! Ifike sehemu tubadilike kwani tiba ipo nyumbani na vyakula tunavyokula ndivyo vinaangamiza jamii. Nalijua hilo mtanzania anapokuwa ana afya njema ni mjuaji sana kuhusu afya yake laikini waswahili walisema mganga hajigangi.

VIDONDA VYA TUMBO NINI??

>Ni kuharibika kwa ukuta wa tumbo la chakula na sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba
Kuna aina kuu mbili za vidonda vya tumbo
1. Gastric ulcers-hivi hutokea kwenye mfuko wa tumbo la chakula
2. Duodenal ulcers-hivi hutokea sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba
VISABABISHI VIKUU VYA VIDONDA VYA TUMBO
1. KUONGEZEKA KWA TINDIKALI YA HCL KWENYE TUMBO LA CHAKULA
>imekuwa ni changamoto kubwa sana kwani moja ya visababishi hivi kila siku tunakumbana navyo ndiyo maana kwa nchi kama Tanzania kutibu vidonda vya tumbo ni changamoto kubwa.
VIFUATAVYO HUONGEZA TINDIKALI YA HCL
A. MAWAZO
Watu wengi tunasumbuliwa na changamoto hii ya kushambuliwa na msongo wa mawazo kila siku hii inatokana na kutojua namna ya kushughulika na msongo wa mawazo. Jifunze namna ya kuepuka msongo wa mawazo utaona mabadiliko yakitokea .

B. Madawa mbalimbali
Imekuwa ni desturi sisi kutumia dawa kama diclofenac,aspirin na zingine nyingi kama makande. Dawa hizi huzuia utengenezaji wa uteute unaolinda ukuta wa tumbo na hivyo kushambulia kwa kasi kwa ukuta wa tumbo. Pia dawa hizi huzuia utengenezwaji wa ukuta wa tumbo na hatimaye ukuta kudhoofika na kuanza kushambuliwa na tindikali. Pia dawa hizi zinaua bacteria wanao stahili kukaa tumboni yani normal flora na kufanya wadudu nyemelezi kama helicobacter pylori kushambulia ukuta wa tumbo. Kuwepo kwa walinzi hawa huyo mdudu anaye sababisha vidonda vya tumbo hata siku moja hawezi kushambuliwa. Hivyo kuwalinda bakiteria hawa ni kuhakikisha tunawalisha chakula kinachowafanya waendelee kustawi na kukulinda. Jiulize ni chakula gani kinafaa?? Jibu ni vyakula vitokanavyo na mimea na matunda hufanya bacteria walinzi wetu watulindi kwa umahili mkubwa.
C. Uvutaji wa sigara na kunywa pombe sana
D. Vyakula vibaya tunavyokuwa kila siku

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

1. Tumbo kuwaka moto sehemu ya juu kulia na endapo maumivu yakizidi husambaa hadi mgongoni.
2. Njaa hasa wakati wa usiku saa kumi na moja asubuhi utasikia tumbo linawaka moto
3. Tumbo kujaa gesi sana
4. Kichefu chefu na kuharisha kutokana na kubagua vyakula
5. Inaweza kupelekea kutapika damu,kuishiwa damu na hatimaye kifo kama mgonjwa asipo wahishwa hospitali
6. Kutoa choocheusi ni kiashiria damu inavia sehemu ya juu ya tumbo.
UKIONA DALILI KAMA HIZI TAFADHALI MUONE DAKTARI
VYAKULA VYA KUEPUKA KABISA

1. Vyakula vyenye viungo vingi.
2. Vyakula au kinywaji chenye caffeine hivyo angalia label kama wewe ni muhanga wa vyakula vya viwandani na hutaki kuacha.
3. Pombe ya aina yoyote
4. Vyakula vyote vya ngano nyeupe kama mikate nk kwani zina glutten
5. Vyakula vya sukari nyingi pia vinywaji vya sukari nyingi. Hii ni kwa sababu ulapo au unywapo sukari nyingi inalisha bakteria wabaya na hatimaye hao bacteria wazuri kufa na hawa wabaya kuanza kushambulia kuta za tumbo la chakula. Hivyo sukari huenda kulisha bacteria wabaya.
HIVI NI VYAKULA VIKUU VYA KULA KWA MTU MWENYE VIDONDA VYA TUMBO
MATOKEO NI NDANI YA MUDA MFUPI TU.

1. KULA CHAKULA KIDOGO KIDOGO
Hii ina maaana unatakiwa kuepuka kitendo cha kula chakula kingi kwa mara moja. Tenga chakula chako na kigawanye ule mara nyingi hii ni kwa sababu unapokula chakula kingi kwa wakati mmoja kunasababisha mmengenyo wa chakula utaenda polepole na hivyo kuzidi kuathiri zaidi ukuta wa tumbo. Pia tunashauri ule mara kwa mara ili kufanaya chakula chako kifanyiwe kazi ipasavyo bila mrundikano na pia kupunguza maumivu ya tumbo.
2. KULA VYAKULA VYA NYUZINYUZI AU FIBER
Ninapo ongelea fiber nina maaanisha kutoka kwenye mboga mboga na matunda pia nafaka kidogo. Hakikisha kila siku unapata angalau 30gm za fiber itakusaidia na kukubadilisha maisha kabisa. Kwani utafiti unaonesha kuwa fiber inaongeza wingi wa kichocheo cha LEPTIN ambacho hukusaidia wewe ule kwa kiasi pia zinakata ulaji mwingi wa sukari pia inakufanya ukae muda mrefu tumbo likiwa limeshiba. Hivyo hapo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja kwani umezuia asidi,umekata ulaji wa sukari na hakuna maumivu tena ya njaa. Swali la kujiuliza ni vyakula gani vina fiber nyingi?? Vyakula vipo vingi lakini jitahidi sana kutumia juice na mboga za majani ulizo zipika kwa mvuke pekee kwani zina fiber nyingi sana pia kuna matunda yani wingi mkubwa wa fiber

3. JUICE YA KABEJI
Imekuwa ni furaha iliyoje nataja mboga ambayo kila siku tunaiona ni mboga ambayo haina manufaa kwetu. Kwani utafiti unaonesha kuwa kabeji ina alkali ambayo hupunguza makali ya tindikali pia ina wingi wa vitamin C na viambata vingine mahususi ambavyo hufanya wale bacteria wazuri wale vizuri na watulinde na magonjwa nyemelezi kama huyo h. pylori. Pia ina VITAMINI K AMBAYO INA KAZI KUBWA SANA YA KUPONYESHA KABISA KUTA ZA MFUKO WA CHAKULA.

MATUMIZI
Andaa kabeji yako na uoshe vizuri hakikisha una APPLE MBILI NA CARROTI HATA MBILI katakata weka kwenye Brenda kisha saga kwa muda wa dakika 5-8 tumia juice hii mara tatu kwa siku asubuhi mchana na jioni kabla ya kula chochote kaa nusu saa kula chakula.
4. Spirulina Plantesis ,dawa asilia kabisa iliyotengezwa na mmea unaoitwa Athrospira Plant ina uwezo wa kutibu kabisa ukuta wako ulioathiriwa na asidi na matatizo mengine ya mfumo wa chakula
Ukitumia 90 days ANTI-GASTRIC ULCERS PACKAGE itakutibu kabisa vidonda vya tumbo hata kama ni vya mda mrefu

Package hii kazi yake ni kutibu ukuta wa tumbo ulioathiriwa
Wengi imewasaidia sana.

MAWASILIANO
0652250418
WhatsApp 0652250418
Usisahau kulike page yangu  ya afya iitwayo "David Mshauri wa Afya"⁠⁠⁠⁠

TAMBUA FAIDA ZA KAROTI KIAFYA



Image result for karoti 

KAROTI
 
Karoti na Tiba
Mwili wa binadamu ili kuwa na afya bora unahitaji virutubisho mbalimbali na ndio maana tunashauriwa kula mlo uliokamili ukijumuishwa na matunda na maji ya kutosha.

Virutubisho hivi hupatikana katika matunda, mboga za majani, samaki, nyama na vyakula vingine vingi. Watu wengi tunapenda kujumuisha karoti katika mapishi yetu au kama sehemu ya matunda lakini hatujui kwa undani faida zake. Hebu basi leo tuangalie faida hizo kwa pamoja;

Faida ya karoti
1.    Karoti husaidia kuboresha afya ya macho
Karoti inavirutubisho muhimu kwa afya ya macho, sio tu kuboresha uwezo wa kuona lakini pia kuyalinda macho kutonana na matatizo yanayotokana na uzee. Uwepo wa vitamin A katika karoti husaidia yote haya na kuyafanya macho yako kuwa yenye afya.

2.    Huboresha afya ya ngozi
Ulaji wa karoti husaidia kuboresha afya ya ngozi ya mtumiaji. Vitamin A iliyopo katika karoti haina faida katika macho tu bali pia husaidia kuifanya ngozi iwe ya kuvutia na kupendeza. Vitamin A huilinda ngozi na chunusi, halala na mabaka meusi yaliyopo kwenye ngozi. Kwa mujibu wa tafiti ya chuo kikuu cha Nottingham, ulaji wa matunda na mboga za majani husaidia afya ya ngozi kwa njia za asili kabisa.

3.    Husaidia mmeng’enyo wa chakula
Karoti ni chanzo kizuri cha nyuzi zenye virutubisho ambavyo husaidia kwa kiasi kikubwa katika umeng’enyaji wa chakula na kurahisisha mtumiaji kupata haja kubwa kwa urahisi. Karoti pia husaidia kupunguza tatizo la kutopata choo, husaidia kulikinga tumbo na magonjwa mbalimbali na husadia kuzuia kansa ya utumbo.

4.    Husaidia kuimarisha afya ya kinywa
Virutubisho vingi vinavyopatikana katika karoti husaidia kuimarisha afya ya mdomo. Ulaji wa karoti utaacha kinywa cha mtumiaji kuwa chenye harufu nzuri, fizi zilizoimara lakini pia zitamlinda mtumiaji na magonjwa mengi yanayopatikana katika kinywa.

5.    Husaidia kusafisha mwili
Karoti husaidia kusaga sumu zilizopo mwilini ktoka katika ini na kuzisafirisha katika kibofu na utumbo mkubwa ili ziweze kutolewa nje kwa njia ya mkojo na kinyesi. Uwepo wa vitamin A katika karoti husaidia kusukuma sumu hizo na kupunguza mafuta yasiyohitajika wakati huohuo nyuzi zilizopo katika karoti husaidia kusafisha utumbo na msukumo wa uchafu.

6.    Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari katika damu.
Uwepo wa ‘carotenoids’ katika karoti husaidia kudhibiti kiwango cha sukari katika damu. Pia husaidia kusimamia glucose na sukari inayogeuzwa katika damu na kutumiwa na mwili ambapo husaidia mgonjwa mwenye kisukari kuishi maisha ya kawaida.

Karoti huweza kutumiwa kama kiungo katika chakula chako, huweza kuliwa kama tunda lakini pia unaweza kutengeneza juisi kutokana na tunda hili.

Kama ulikuwa hufahamu faida za karoti na umuhimu wake katika mwili wako basi anza leo kujumuisha karoti katika mwili wako, mwili haujengwi kwa matofari… bali kwa mlo ulio kamilika.⁠⁠⁠⁠ 
Kwa ufupi sana tunasema hivi;

🥕FAIDA 10 ZA MMEA WA KAROTI

🥕Karoti ina faida zifuatazo
🔸Ina ongeza uwezo wa macho kuona
🔸Inasaidia mwili kupambana na mgonjwa ya moyo
🔸Inasaidia mwili kupambana na Kansa 🔸Inaboresha afya kinywa cha mwanadamu
🔸Ina ongeza ilinzi wa INI ili lisiathirike na mgonjwa.
🔸Ina linda afya ya ngozi ya mwili wa binadamu
🔸Inasaidia kuboresha mfumo wa mmengenyo wa chakula
🔸Inasaidia kuzuia kiharusi
🔸Inadhibiti sukari katika damu
🔸Inasaidia mwili kutokuonyesha dalili za uzee mapema..yaani mwili kuchoka haraka 🔻Tutumie karoti kwa wingi kulinda afya zetu David Nghambi 0752090436/0652250418 kwa ushauri zaid 🥕🥕🥕⁠⁠⁠⁠