PATA MAKALA NZURI KWA AFYA YAKO KWA KUANDIKA TAARIFA ZAKO MUHIMU KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI

PATA MAKALA KWA AJILI YA AFYA YAKO KWA KUWEKA TAARIFA ZAKO HAPA

* indicates required

Jumanne, 2 Mei 2017

HEDHI SALAMA

MAANA YA HEDHI SALAMA
Je, ni nini maana ya hedhi salama?.
 - Hedhi salama ni hedhi yenye sifa zifuatazo;
  • Hedhi isiyokuwa na miwasho
  • Hedhi bila fangasi
  • Hedhi bila maumivu
  • Hedhi bila kutokwa damu nyingi
  • Hedhi ambayo inakuwa yenye furaha na amani.
Je, ninawezaje kupata hedhi yenye mpangilio?.
- Hedhi yenye mpangilio unaweza kuipata kwa njia zifuatazo;
  • Kupata elimu juu ya hedhi salama
  • Kupata elimu sahihi ya kutunza uke na kutumia pedi za neplily
  • Kupata lishe bora na utafutaji wa elimu yake
Je, ninawezaje kuwasaidia wengine?
- Inawezekana kabisa kuwasaidia wengine kwa njia zifuatazo;

  • Kuwa wakala wa muda kwa gharama au mtaji wa Tshs 150,000/=
  •  Kuwa wakala wa muda kwa gharama au mtaji wa Tshs 360,000/=
Je, nitafaidikaje nikisaidia wengine?
- Utafaidika na faida zifuatazo ukisaidia wengine;
  • Baraka tele na kuzidi kujifunza
  • Kupata faida rejareja
  • Kupata elimu ya afya na ujasiliamali bure
  • Ile asilimia 20  ya manunuzi yangu,nitalipwa mwisho wa mwezi. Na hili jambo ni kwa yule mtu ambaye ni wakala wa kudumu.
Je, nitafaidika vipi nikileta wakala mimi kama wakala?.
- Utafaidika kama ifuatavyo;
  • kulipwa asilimia tano ya manunuzi kwa wakala atakayeleta wakala.
Imeandikwa na  Mr. David Nghambi (wakala wa kudumu wa hedhi salama)
Contacts; Tigo 0652250418  au voda 0752090436.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni