PATA MAKALA NZURI KWA AFYA YAKO KWA KUANDIKA TAARIFA ZAKO MUHIMU KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI

PATA MAKALA KWA AJILI YA AFYA YAKO KWA KUWEKA TAARIFA ZAKO HAPA

* indicates required

Jumapili, 7 Mei 2017

PEDI ZA NEPLILY MKOMBOZI WA MWANAMKE DUNIANI KOTE

Ewe mwanamke, mama, msichana ama binti pole sana kwa kusumbuliwa na magonjwa sugu na tabia kama U.T.I, miwasho sehemu za siri, fungus, mirija ya uzazi kuziba, maumivu ya tumbo wakati wa hedhi nakadhalika.

Soma kwa makini habari hii njema ya ufumbuzi wa matatizo yote hayo. Baada ya kumaliza kusoma mada hii utakuwa umeyajua yafuatayo;
  1. Sifa za pedi bora
  2. Kwanini pedi ya neplily ni bora kuliko zingine?
  3. Je hiyo anion iliyopo kwenye pedi ya neplily inatengenezwaje?
  4. Hiyo anion inavunwaje?
  5. Hiyo anion inawekwaje kwenye pedi?
  6. Inaingiaje mwilini
  7. Utendaji kazi wa anion mwilini ukeni
  8. Udhaifu wa pedi zisizokuwa na anion
  9. Ijue pedi unayoitumia
  10. Je ni lazima uathirike kama utatumia pedi zisizokuwa na anion?
  11. Faida za pedi za Neplily
  12. Wapi utanunua pedi za Neplily
  13. Kwanini ni muhimu uwafundishe na wengine uzuri wa Neplily pads.
 
 SIFA ZA PEDI BORA
  1. Imetengenezwa kwa pamba laini na pamba grade one(1)
  2. Haitoi majimaji au damu nje ya pedi
  3. Inafyonza uchafu sio kuuzuia hapo ukeni
  4. Inaua bacteria wabaya na kuzuia fangasi, miwasho na harufu mbaya
  5. Inanasa au kukaa vizuri katika mwili na chupi na kulenga uke wote.
  6. Haina gundi na madini ya benzene.
KWA NINI PEDI ZA NEPLILY NI TOFAUTI NA PEDI ZINGINE?
Tofauti kubwa ya pedi ya neplily na pedi zingine ni uwepo wa anion katika plate ya pedi hii.
Anion hii ndio inaifanya pedi hii kuwa bora sana kuliko pedi zingine. Angalia picha sehemu 
ambayo anion plate ipo. ANION NI NINI? Anion ni chaji hasi. Kuna aina mbili za chaji kwa
 lugha ya kawaida ambayo ni (a) positive - chanya (b) negative - hasi. Angalia picha ifuatayo 
hapa chini sehemu yenye rangi ya kijani kwenye pedi hii, hapo ndipo anion ilipowekwa 

JE HIZI ANIONS ZINAVUNWA WAPI ILI  KUJA KUTENGENEZEA HII BIDHAA YETU?
Anions za kutengeneza neplily sanitary pads mimi napenda kuziita anions sanitary pads 
zimetengenezwa kwa kuvuna anions kwenye vyanzo vifuatavyo. Teknolojia kubwa 
imetumika hivyo sio rahisi kuelezea hapa.
  • Kwenye misitu minene
  • Kwenye maporomoko  ya maji
  • Kwenye upepo mzito unaotembea kwa kasi sana
SEHEMU ANION ZILIPOWEKWA KWENYE PEDI
Angalia sehemu ya kijani katika pedi hii hapa chini, hapo ndipo anion ilipowekwa.

Kitu cha tofauti ni kwamba anion plate hii haijagundishwa na gundi
ila imekuwa woven (imeshonwa kitaalamu) na ile pamba laini ya
 pedi, kwa hiyo hakuna gundi hapo au madini mengine 
yaliyotumika kuishikiza anion plate na pedi au pamba 
laini.
JE ANION INAINGIAJE UKENI (MWILINI)
  • Ikumbukwe pedi hii hufanya kazi kwanza kama pedi zingine yaani
kufyonza au kutunza majimaji na damu itokayo ukeni lakini pedi 
hii ya neplily huenda mbali zaidi ya hapo yaani kuzuia uzalianaji
wa bacteria na fangasi wabaya na kutibu na kuzuia U.T. I, pia hufungua uzazi.
  • Hii anion plate ikilowa na maji au damu tu, inafyonza damu yote na kutengeneza oxygen
ambayo hupenya na kutoa joto lote na majimaji au unyevunyevu ukeni. Anion hii
huruhusu upepo kuingia lakini hairuhusu maji au damudamu kutoka.

              Na lengo la kuruhusu hewa iingie sio maji au damu ni kwasababu hizi zifuatazo;
               1. Hewa inapopita inaondoa joto lote na kuondoa mazingira ya bakteria kuota
               2. Pia hewa inasafisha na kukausha unyevunyevu wote ambao ukiachwa wadudu
                   au bacteria wanachekelea na kuoteana.
               3. Hivyo unakuwa mkavu na kuwa na ujoto kama upo kwenye AC vile
                   (jinsi   utakavyojiskia  mwenye amani).
               4.  Haya basi baada ya kupata tu unyevunyevu inaanza kusambaza ANIONS zinaanza
                    kupanda kuingia kwenye kizazi, mpaka kwenye mirija ya uzazi
NAMNA ANION INAVYOFANYA KAZI NDANI YA UKE        
               5. Sasa hii oksijeni inapokuwa ukeni inauwa hawa bacteria wabaya na fangasi maana
                    hawawezi kukua ikiwepo oksijeni (oxygen) safi. 
               6.  Pia hawa anaerobes (bacteria wakuao bila oksijeni safi) hubadilisha mazingira ya asidi
                    ndani ya sehemu za siri. Hivyo anion inarudisha PH ya ndani ya uke hadi kati ya 
                    PH 4.0 hadi PH 5.5                          
               7.  Hizi anions zinapokuwa zinazama kuingiza ile oksijeni inayopatikana inaua anaerobic
                     bakteria wote na kuhakikisha mazingira ya sehemu za siri yanabaki na UASILI WAKE
                     yaani PH YAKE YA 4-5.5 NA KUZUIA KUPATA BAKTERIA NYEMELEZI NA
                      KUZUIA KANSA YA SHINGO YAKIZAZI, MAANA KUBADILIKA KWA PH YA
                       SEHEMU ZA SIRI KUNAMFANYA HATA HUMAN PAPILLOMA VIRUS HUYU
                        NI VIRUS HATARI ANAYESABABISHA KANSA YA SHINGO YA KIZAZI 
                         KUANZA KUSHAMBULIA KIZAZI.
UDHAIFU WA PEDI NYINGINE AMBAZO HAZINA ANION
1. Pedi hizo zina material ambayo sio rafiki wa afya ya binadamu 
(recycled materials) kama karatasi za ofisini, plastics na 
vumbi za mbao.
2. Pedi hazipitishi hewa, hivyo joto lote linakaa ndani, ukichukua
joto na unyevunyevu wakati wa hedhi ni mbolea nzuri kwa 
bacteria kuota na kumea.
3. Pedi zinafyonza kiasi kidogo na huku bado zinabaki na unyevu
nyevu na kukufanya muda wote huna amani maana unasikia 
ikulu (sehemu za siri) kumelowa muda wote.
4. Pedi nyingine zinavujisha  majimaji na damu na unakuta baadhi
ya kinamama wana vialama kwenye nguo zao.
5. Pedi hazizuii harufu mbaya ya wakati wa hedhi au harufu ya 
uke wenye harufu mbaya inakuwa.
JE UNAJUA PEDI UNAYOTUMIA INA NINI?
- Hili ndilo swali la msingi, usiseme tu pedi ni mbaya au nzuri
jiulize ni mbaya kwa sababu gani,  na nzuri kwa sababu gani
hapo utakuwa umeamua kisomi.
- Usiangalie bei kwanza angalia ubora wake kwanza.
- Huna haja ya kununua ugonjwa ambao utakugharimu mamilioni
ya pesa kwa kuepusha pesa ambayo utaenda kuiepusha hata 
kwenye vitu ambavyo sio vya KUILINDA AFYA YAKO.
- Napenda nikwambie kuwa pedi nyingi zimetengenezwa kwa kuchukua 
mabaki ya karatasi, plastics na kemikali mbalimbali zikapitishwa
kwenye mashine (RECYCLING) na hatimaye kupata material ya pedi
unazotumia. (Chunguza kama utaweza).
- Ndugu yangu gundi inayotumika kugundishia pedi hizo kwenye nguo
ya ndani ili ikae vizuri imetengenezwa kwa kutumia BENZENE.
Benzene kama jina lake lilivyo baya inakufanyia mambo mabaya yafuatayo;
1. Inavuruga mzunguko wa hedhi
2.Inakuletea maumivu, kichefuch
efu  yaani kitaalamu (dysmenorhea)
3. Pia inaweza kusababisha kubleed
kwa muda mrefu bila sababu yoyote
tena ovyoovyo (polymetrohagia)
4. Pia inasababisha kukosa kabisa hedhi
bila hata sababu ya maana (Amenorhea)
MBONA NIMETUMIA PEDI ZISIZO NA ANION MIAKA YOTE NA BADO NIKO
VIZURI AU SALAMA?
Hili ni janga kila dada analalamika mzunguko, ugumba, uvimbe kwenye kizazi,
watoto wadogo tu, uke mkavu, maumivu wakati wa tendo la ndoa au hedhi nakadhalika,
sio yote yamesababishwa na pedi. LAKINI KINGA NI BORA KULIKO TIBA.
Unaweza kuwa fiti kwa kutumia pedi za kawaida ila wengine wakaathirika, yote
haya inategemea jinsi gani mwili wako unaitikia kwenye hii benzene. Kama upo
sensitive utapata madhara haraka na kama hauko sensitive utachelewa kupata 
madhara. Hii ni kwasababu kila moja ya mwanamke ana genes tofauti na mwingine hivyo
madhara pia yanakuwa tofauti, wachache wanakuwa salama kabisa. Chukua tahadhari.
PIA KUNA WANAOSEMA WANATUMIA KITAMBAA NA WAPO FITI (VIZURI)
Ni sawa kabisa, ila mara ukipatwa na magonjwa sugu yatokanayo na utumiaji wa hewa chafu
(maana huwezi kuwa na hewa yako peke yako), chakula ulichopika mwenyewe lakini kisicho
faa, chakula kilicholimwa kwa kutumia mbegu za genetic na mambo kadha wa kadha 
yasiyozuilika na kupelekea wewe kupata magonjwa kama U.T.I, fangasi ukeni, muwasho na 
uvimbe basi tambua ya kwamba NEPLILY PAD HAZIKWEPEKI. Katika hali ya kawaida
kitambaa kitakufaa lakini kama upo na hali isiyokuwa ya kawaida kama vile unatokwa 
na damu, una uke mkavu, maumivu au hata hedhi mvurugiko nakadhalika sioni kitambaa 
kikikupa comfort ya kujiachia na kuwa huru sana. But kama umezoea kuvaa kutumia kitambaa
na unakuwa fiti basi hiyo ni nzuri unaweza pia kushea uzoefu huo na kwa wengine.
UMUHIMU WA PEDI ZA NEPLILY UNATOKANA NA YAFUATAYO
       1. Imetengenezwa kwa pamba laini na ni nyepesi, nene na haina mikwaruzo kwenye ngozi
            ya mwili.
       2. Uwezo wake wa kufyonza maji au damu ni mkubwa mara kumi (10) kuliko pedi za 
            kawaida.
       3. Uwezo wake wa kupitisha hewa pande zote mbele na nyuma
       4. Uwezo wake wa kutengeneza oxygen
       5. Uwezo wake wa kuua bakteria na fangasi wabaya
       6. Uwezo wake wa kuzuia na kutibu harufu mbaya itokayo ukeni
       7. Uwezo wake wa kutibu ugumba, inafungua mirija iliyozibwa na taka
       8. Uwezo wake wa kurekebisha homoni
       9. Uwezo wake wa kuweka PH ya uke sawa
      10. Zipo za kutumia siku za hedhi na siku ambazo sio za hedhi
            (kama mwanamke ana magonjwa)
            PIA
            - Inaondoa uchovu
            - Inazuia maambukizi ya uzazi hasa unapokuwa kwenye mazingira hatarishi kama vile
               mabwawa ya kuogelea (swimming pool), kwa kuwa hairuhusu maji kuingia.
            - Inarekebisha uzazi baada ya kujifungua
            - Zinatibu bawasiri kwa kina mama na kina baba
            - Zinatibu fangasi za miguuni kwa wote kina mama na kina baba
            - Matatizo ya kuumwa kichwa au stress ama matumbo kwa kina mama
            - Matatizo ya hedhi na kuumwa kiuno wakati wa tendo la ndoa
              NUNUA PEDI ZA NEPLILY
Zipo za kutumia wakati wa hedhi na zile za kutumia wakati haupo hedhi yaani zile
unazotumia kama una matatizo  hayo yaliyoorodheshwa hapo juu ya magonjwa ya uke.
Pedi hizi huwezi zipata katika maduka ya kawaida isipokuwa kutoka kwa msambazaji 
aliyeidhinishwa tu. Hii ni kwasababu ya kulinda ubora na kuondoa ubabaishaji uliopo
kwenye udhaifu wa pedi zingine.
SHARE NA WENZAKO WAJIFUNZE
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kwa namba 0652250418/0752090436
Share na watu wengi kadri uwezavyo kusaidia jamii yako. Kuna watu wanafikiri elimu hii
inawafaa wanawake peke yao. Hapo wanakuwa wamekosea, elimu hii inawafaa watu wote,  wanaume na wanawake ni vizuri wakawa na elimu hii.
 
 


Jumanne, 2 Mei 2017

HEDHI SALAMA

MAANA YA HEDHI SALAMA
Je, ni nini maana ya hedhi salama?.
 - Hedhi salama ni hedhi yenye sifa zifuatazo;
  • Hedhi isiyokuwa na miwasho
  • Hedhi bila fangasi
  • Hedhi bila maumivu
  • Hedhi bila kutokwa damu nyingi
  • Hedhi ambayo inakuwa yenye furaha na amani.
Je, ninawezaje kupata hedhi yenye mpangilio?.
- Hedhi yenye mpangilio unaweza kuipata kwa njia zifuatazo;
  • Kupata elimu juu ya hedhi salama
  • Kupata elimu sahihi ya kutunza uke na kutumia pedi za neplily
  • Kupata lishe bora na utafutaji wa elimu yake
Je, ninawezaje kuwasaidia wengine?
- Inawezekana kabisa kuwasaidia wengine kwa njia zifuatazo;

  • Kuwa wakala wa muda kwa gharama au mtaji wa Tshs 150,000/=
  •  Kuwa wakala wa muda kwa gharama au mtaji wa Tshs 360,000/=
Je, nitafaidikaje nikisaidia wengine?
- Utafaidika na faida zifuatazo ukisaidia wengine;
  • Baraka tele na kuzidi kujifunza
  • Kupata faida rejareja
  • Kupata elimu ya afya na ujasiliamali bure
  • Ile asilimia 20  ya manunuzi yangu,nitalipwa mwisho wa mwezi. Na hili jambo ni kwa yule mtu ambaye ni wakala wa kudumu.
Je, nitafaidika vipi nikileta wakala mimi kama wakala?.
- Utafaidika kama ifuatavyo;
  • kulipwa asilimia tano ya manunuzi kwa wakala atakayeleta wakala.
Imeandikwa na  Mr. David Nghambi (wakala wa kudumu wa hedhi salama)
Contacts; Tigo 0652250418  au voda 0752090436.